sw_tw/bible/other/patient.md

425 B

Uvumilivu

Ufafanuzi

Uvumilivu ni kitendo cha kupita katika wakati mgumu na kuwa na subira.

  • Mtu akiwa na uvumilivu kwa mtu fulani inamaana kuwa anampenda yule mtu na atamsamehe kosa lolote ambalo mtu yule atafanya.
  • Biblia inawafundisha watu wa Mungu kuwa wavumilivu wanapopitia magumu na kuwavumilia watu pia.
  • Kwa sababu ya rehema zake Mungu anawavumilia watu wake japokuwa ni wenye dhambi wanaostahili adhabu.