sw_tw/bible/other/pardon.md

11 lines
361 B
Markdown

# Msamaha
## Ufafanuzi
"Msamaha" ni kusamehe au kutokumhukumu mtu kwa sababu ya dhambi zake.
* Neno hili pia linaweza kuwa na maana ya kutokuamua kumhukumu mtu kwa sababu ana makosa.
* Kwenye mahakama, hakimu anaweza kumsamehe mtu anayekutwa na hatia katika kosa.
* Japokuwa sisi tuna hatia ya dhambi Yesu alitusamehe toka kwenye hukumu kwa kufa msalabani.