sw_tw/bible/other/pardon.md

361 B

Msamaha

Ufafanuzi

"Msamaha" ni kusamehe au kutokumhukumu mtu kwa sababu ya dhambi zake.

  • Neno hili pia linaweza kuwa na maana ya kutokuamua kumhukumu mtu kwa sababu ana makosa.
  • Kwenye mahakama, hakimu anaweza kumsamehe mtu anayekutwa na hatia katika kosa.
  • Japokuwa sisi tuna hatia ya dhambi Yesu alitusamehe toka kwenye hukumu kwa kufa msalabani.