sw_tw/bible/other/overseer.md

13 lines
760 B
Markdown

# msimamizi
## Ufafanuzi
Neno "msimamizi" la husu mtu aliye mwangalizi wa kazi na maendeleo ya watu wengine.
* Katika Agano la Kale, msimamizi alikuwa na kazi ya kuhakikisha wafanya kazi chini yake walifanya kazi yao vizuri.
* Katika Agano Jipya, hili neno la tumika kueleza viongozi wa kanisa la kwanza la Kristo. Kazi yao ilikuwa ilikuwa kushughulikia waamini wanapokea mafundisho sahihi ya Biblia.
* Paulo anataja msimamizi kama kuwa mchungaji anaye jali waamini katika kanisa, waliyo "kundi" lake"
* Msimamizi, kama mchungaji, anaangalia kondoo wake. Analinda na kutunza waamini kutoka mafundisho ya uongo na mambo mengine maovu.
* Katika Agano Jipya, maneno "msimamizi," "mzee," na "mchungaji" ni namna tofauti za kutaja viongozi wale wale wa kiroho.