sw_tw/bible/other/overseer.md

760 B

msimamizi

Ufafanuzi

Neno "msimamizi" la husu mtu aliye mwangalizi wa kazi na maendeleo ya watu wengine.

  • Katika Agano la Kale, msimamizi alikuwa na kazi ya kuhakikisha wafanya kazi chini yake walifanya kazi yao vizuri.
  • Katika Agano Jipya, hili neno la tumika kueleza viongozi wa kanisa la kwanza la Kristo. Kazi yao ilikuwa ilikuwa kushughulikia waamini wanapokea mafundisho sahihi ya Biblia.
  • Paulo anataja msimamizi kama kuwa mchungaji anaye jali waamini katika kanisa, waliyo "kundi" lake"
  • Msimamizi, kama mchungaji, anaangalia kondoo wake. Analinda na kutunza waamini kutoka mafundisho ya uongo na mambo mengine maovu.
  • Katika Agano Jipya, maneno "msimamizi," "mzee," na "mchungaji" ni namna tofauti za kutaja viongozi wale wale wa kiroho.