sw_tw/bible/other/oak.md

11 lines
395 B
Markdown

# mkuyu
## Ufafanuzi
Mkuyu ni mrefu, mti wa kivuli wenye shina kubwa na lenye matawi mapana.
* Mkuyu ina mbao ngumu iliyo tumika kutengeneza meli na kutengeneza majembe, na fimbo za kutembelea wazee.
* Shina la badhi ya mikuyu inaweza kuwa na mita 6.
* Miti ya mikuyu ilikuwa ni mfano wa maisha marefu na ilikuwa na maana zingine za kiroho. Katika Biblia, ilihusishwa na maeneo matakatifu.