sw_tw/bible/other/oak.md

395 B

mkuyu

Ufafanuzi

Mkuyu ni mrefu, mti wa kivuli wenye shina kubwa na lenye matawi mapana.

  • Mkuyu ina mbao ngumu iliyo tumika kutengeneza meli na kutengeneza majembe, na fimbo za kutembelea wazee.
  • Shina la badhi ya mikuyu inaweza kuwa na mita 6.
  • Miti ya mikuyu ilikuwa ni mfano wa maisha marefu na ilikuwa na maana zingine za kiroho. Katika Biblia, ilihusishwa na maeneo matakatifu.