sw_tw/bible/other/neighbor.md

416 B

jirani

Ufafanuzi

Neno "jirani" mara kwa mara la mueleza mtu anaye ishi karibu. Pia yaweza kueleza kwa ujumla mtu anaye ishi katika jamii moja au kundi la watu.

  • "Jirani" ni mtu atakaye lindwa na kutendewa vizuri kwasababu anaishi kwenye jamii moja.
  • Katika Agano Jipya mfano wa Msamaria Mwema, Yesu alitumia "jirani" kifumbo, akitanua maana yake kumaanisha wanadamu wote, ata mtu anaye onekana kama adui.