sw_tw/bible/other/multiply.md

13 lines
619 B
Markdown

# kuzidisha
## Ufafanuzi
neno "kuzidisha" lina maana ya kuongezeka kiidadi. Pia yaweza kusababisha kitu kuongezeka kwa kiasi, kama vile kuzidisha maumivu.
* Mungu aliwaambia wanyama na binadamu "kuongezeka" na kujaza dunia.
* Yesu alifanya mkate na samaki kuongezeka ili kulisha watu 5000. Kiasi cha chakula kiliendelea kuongezeka kiasi kwamba kulikuwa na chakula zaidi kumlisha kila mtu.
* Kulingana na muktadha, hili neno la weza tafsiriwa kama"ongeza"
* Neno "kuongeza maumivu yako sana" ya weza tafsiriwa kama "maumivu yako kuwa makali sana"
* "Kuzidisha farasi" ina maana ya "kuongeza farasi zaidi kwa tamaa"