sw_tw/bible/other/multiply.md

619 B

kuzidisha

Ufafanuzi

neno "kuzidisha" lina maana ya kuongezeka kiidadi. Pia yaweza kusababisha kitu kuongezeka kwa kiasi, kama vile kuzidisha maumivu.

  • Mungu aliwaambia wanyama na binadamu "kuongezeka" na kujaza dunia.
  • Yesu alifanya mkate na samaki kuongezeka ili kulisha watu 5000. Kiasi cha chakula kiliendelea kuongezeka kiasi kwamba kulikuwa na chakula zaidi kumlisha kila mtu.
  • Kulingana na muktadha, hili neno la weza tafsiriwa kama"ongeza"
  • Neno "kuongeza maumivu yako sana" ya weza tafsiriwa kama "maumivu yako kuwa makali sana"
  • "Kuzidisha farasi" ina maana ya "kuongeza farasi zaidi kwa tamaa"