sw_tw/bible/other/mold.md

11 lines
399 B
Markdown

# kufinyanga
## Ufafanuzi
Kufinyanga ni kutengeneza mbao, chuma, au udogo ilikutimia kuunda umbo kutokana na dhahabu, fedha, au vitu vingine vinavyo weza kumika kwa kufinyangwa.
* Vituvya ufinyazi vilitumika kutengeneza mikufu, vyombo, na vitu vya kulia.
* Katika Biblia, vitu vya ufinyazi vinatumika mara nyingi kwa kutengeneza sanamu.
* Chuma zilipaswa kuchomwa ili kwamba viweze kufinyangwa.