sw_tw/bible/other/mold.md

399 B

kufinyanga

Ufafanuzi

Kufinyanga ni kutengeneza mbao, chuma, au udogo ilikutimia kuunda umbo kutokana na dhahabu, fedha, au vitu vingine vinavyo weza kumika kwa kufinyangwa.

  • Vituvya ufinyazi vilitumika kutengeneza mikufu, vyombo, na vitu vya kulia.
  • Katika Biblia, vitu vya ufinyazi vinatumika mara nyingi kwa kutengeneza sanamu.
  • Chuma zilipaswa kuchomwa ili kwamba viweze kufinyangwa.