sw_tw/bible/other/mock.md

11 lines
391 B
Markdown

# dhihaki
## Ufafanuzi
Neno kudhihaki ni kumtania mtu, kwa namna mbaya.
* Kudhihaki mara kadha kuna husisha muingiza maneno ya watu au matendo kwa kusudi kuwaaibisha au kuonyesha kuchukizwa nao.
* Wanajeshi wa Kirumi walidhihaki Yesu walipo mvalisha joho na kujifanya kumheshimu kama mfalme.
* Kikundi cha vijana walimdhihaki Elisha walipo muita jina, wakimtania kichwa chake cha upara.