sw_tw/bible/other/mock.md

391 B

dhihaki

Ufafanuzi

Neno kudhihaki ni kumtania mtu, kwa namna mbaya.

  • Kudhihaki mara kadha kuna husisha muingiza maneno ya watu au matendo kwa kusudi kuwaaibisha au kuonyesha kuchukizwa nao.
  • Wanajeshi wa Kirumi walidhihaki Yesu walipo mvalisha joho na kujifanya kumheshimu kama mfalme.
  • Kikundi cha vijana walimdhihaki Elisha walipo muita jina, wakimtania kichwa chake cha upara.