sw_tw/bible/other/mealoffering.md

11 lines
354 B
Markdown

# sadaka ya mlo
## Ufafanuzi
"Sadaka ya mlo" ilikuwa dhabihu ya Mungu katika umbo la nafaka au mkate uliyo tengenezwa kwa unga.
* Neno "mlo" la husu nafaka iliyo sagwa kuwa unga
* Unga ulichanganywa na maji au mafuta kufanya mkate. Wakati mwingine mafuta yalisabazwa juu ya mkate.
* Aina hii ya sadaka kawaida iliwekwa pamoja na sadaka ya kuteketeza