sw_tw/bible/other/mealoffering.md

354 B

sadaka ya mlo

Ufafanuzi

"Sadaka ya mlo" ilikuwa dhabihu ya Mungu katika umbo la nafaka au mkate uliyo tengenezwa kwa unga.

  • Neno "mlo" la husu nafaka iliyo sagwa kuwa unga
  • Unga ulichanganywa na maji au mafuta kufanya mkate. Wakati mwingine mafuta yalisabazwa juu ya mkate.
  • Aina hii ya sadaka kawaida iliwekwa pamoja na sadaka ya kuteketeza