sw_tw/bible/other/magistrate.md

10 lines
304 B
Markdown

# muamuzi, waamuzi
## Ufafanuzi
Muamuzi ni afisa aliye teuliwa anaye kuwa kama hakimu anaye amua mambo ya sheria.
* Katika Biblia, muamuzi alitatua ugomvi baina ya watu.
* Kulingana na muktadha, namna ya kutafsiri hili neno ya weza kuwa, "hakimu anaye amua" au "afisa wa sheria" au "kiongozi wa mji"