sw_tw/bible/other/magistrate.md

304 B

muamuzi, waamuzi

Ufafanuzi

Muamuzi ni afisa aliye teuliwa anaye kuwa kama hakimu anaye amua mambo ya sheria.

  • Katika Biblia, muamuzi alitatua ugomvi baina ya watu.
  • Kulingana na muktadha, namna ya kutafsiri hili neno ya weza kuwa, "hakimu anaye amua" au "afisa wa sheria" au "kiongozi wa mji"