13 lines
572 B
Markdown
13 lines
572 B
Markdown
# simba
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Simba ni mnyama mkubwa wa porini anayefanana na paka, mwenye meno yenye nguvu na makucha ya kuulia na kurarua mawindo yake.
|
|
|
|
Simba wana miili yenye nguvu na kasi kubwa ya kushika mawindo yao. Manyoya yao ni mafupi na yana rangi ya mchanganyiko wa kahawa na dhahabu.
|
|
Simba dume wana manyoya ya shingoni yanayozunguka vichwa vyao.
|
|
Simba huua wanyama wengine ili kuwala na pia wanaweza kuwa hatari kwa binadamu.
|
|
Mfalme Daudi alipokuwa mvulana, aliua simba waliojaribu kuvamia kondoo wake aliokuwa akiwachunga.
|
|
Samsoni pia aliua simba kwa mikono yake.
|
|
|