11 lines
347 B
Markdown
11 lines
347 B
Markdown
# chui
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Chui ni mnyama pori mkubwa kama paka, mwenye rangi ya kahawa na madoa meusi.
|
|
|
|
Chui ni aina ya mnyama anayeshika wanyama wengine na kuwala.
|
|
Katika Biblia, ughafla wa maafa unalinganishwa na chui anaye shambulia mawindo yake ghafla.
|
|
Nabii Danieli na mtume Yohana wanazungumzia maono ambayo waliona mnyama aliyefanana na chui.
|
|
|