10 lines
475 B
Markdown
10 lines
475 B
Markdown
# kufanywa haki
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Usemi "kufanywa haki" inamaanisha kumfanya mtu mwenye hatia kuwa mwenye haki. Mungu pekee ndiye awezaye kuwafanya watu kuwa na haki.
|
|
|
|
Mungu anapowafanya haki watu, huwasamehe dhambi zao na kuwafanya kana kwamba hawana dhambi. Huwafanya haki watenda dhambi wanaotubu na kumuamini Yesu kuwaokoa kutoka dhambi zao.
|
|
"kufanywa haki" inamaanisha kile Mungu anachofanya anaposamehe dhambi za mtu na kutamka kuwa mtu huyo ni mwenye haki machoni pake.
|
|
|