11 lines
457 B
Markdown
11 lines
457 B
Markdown
# uadilifu
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Neno "uadilifu" inamaanisha kuwa mwaminifu, na mwenye msimamo mkali wa maadili na tabia.
|
|
|
|
Kuwa na uadilifu ni kuchagua kutenda kilicho kweli na sawa hata wakati hakuna mwingine anayetazama.
|
|
Baadhi ya watu katika Biblia, kama Yusufu na Danieli, walionesha uadilifu walipokataa kufanya uovu na kuchagua kumtii Mungu.
|
|
Kitabu cha Mithali kinasema kuwa ni bora kuwa maskini na kuwa na uadilifu kuliko kuwa tajiri na mfisadi na muongo.
|
|
|