18 lines
1.0 KiB
Markdown
18 lines
1.0 KiB
Markdown
# Nyumba
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Istilahi 'nyumba' hutumika kama tamathali ya semi (mfano) katika Biblia.
|
|
Mara nyingine hutumika kumaanisha 'kaya' kurejelea watu wanaoishi pamoja katika nyumba.
|
|
Mara zote neno 'nyumba' humaanisha wazao au watoto au ndugu wengine. Mfano, nyumba ya Daudi huwa na maana ya uzao wa Daudi.
|
|
Maneno kama 'nyumba ya Mungu' au 'nyumba ya Yahweh' huwa na maana ya hekalu au hema la kukutania au sehemu Mungu alipo.
|
|
Katika Waebrania 3, "Nyumba ya Mungu" ni sitiari ikimaanisha Watu wa Mungu.
|
|
Kifungu cha maneno ' nyumba ya Israeli" kwa ujumla huwa na maana ya taifa laote la Israeli au hasa hasa kwa makabila ya ufalme wa Kasikazini wa Israeli.
|
|
|
|
Mapendekezo ya tafsiri
|
|
kwa kutegemeana na muktadha, neno, nyumba linaweza kuwa na maana ya 'kaya' ' watu, familia, uzao, hekalu au sehemu ya kukaa.''
|
|
"Nyumba ya Daudi' in maana ya ''ukoo wa Daudi, familia ya Daudi au uzao wa Daudi.
|
|
"Nyumba ya Israeli' ina maana ya watu wa Israeli au wazao wa Israeli au waisraeli.
|
|
'Nyumba ya Yahweh' ina maana ya hekalu au sehemu ya kumwabudia Mungu.
|
|
|