10 lines
494 B
Markdown
10 lines
494 B
Markdown
# Mpanda farasi
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
katika nyakati za Biblia, istilahi, ' mpanda farasi walikuwa ni wanaume ambao waliendesha farasi katika vita.
|
|
Mashujaa walioendesha gari la kukokotwa na farasi waliitwa wapanda farasi, ingawa jina hili hurejelea watu ambao kiuhalisia huongoza farasi.
|
|
Waisraeli waliamini kuwa kwa kutumia farasi katika vita ilitia mkazo katika nguvu zao kuliko kumtegemea Yahweh, hivyo hawakutumia wapanda farasi sana..
|
|
Neno hili laweza kutafsiriwa kama ' waendesha farasi
|
|
|