10 lines
577 B
Markdown
10 lines
577 B
Markdown
# angika au nyonga
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Neno hili nyonga au angika lina maana ya ninginiza au tundika kitu au mtu.
|
|
kifo cha kunyongwa au kujinyonga hufanyika kwa kutumia kamba ambayo mtu humfungwa shingoni na kumning'niza kwa kitu kilicho juu kama vile mti. Yuda alijiua mwenyewe kwa kujinyonga.
|
|
Kifo cha Yesu kwa kuangikwa kwenye msalaba wa mbao kilifanyika kwa utofauti: askari walimtundika Yesu kwa kumpigilia misumali miguuni na mikononi katika msalaba.
|
|
kuangika au kunyonga mtu mara zote ni njia ya kumwua mtu kwa kumnyonga kwa kutumia kamba inayofungwa shingoni mwa mtu.
|
|
|