20 lines
945 B
Markdown
20 lines
945 B
Markdown
# milele
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Katika Biblia, msemo "milele" una maana ya muda usiofika mwisho. Mara kwa mara hutumika kitamathali kumaanisha, "muda mrefu sana".
|
|
|
|
Msemo "milele na milele" unasisitiza ya kwamba jambo litakuwepo milele.
|
|
|
|
Msemo "milele na milele" ni njia ya kuelezea maisha ya milele yakoje. Pia una wazo la muda ambao hauishi.
|
|
|
|
Mungu alisema ya kwamba ufalme wa Daudi utakuwepo "milele". Hii inamaanisha ukweli ya kwamba uzao wa Daudi Yesu atatawala kama mfalme milele.
|
|
|
|
Mapendekezo ya Tafsiri
|
|
|
|
Msemo huu unaweza kutafsiriwa kama "mara zote" au "kutokuwa na mwisho".
|
|
Msemo, "utadumu milele" unaweza kutafsiriwa kama "kuwepo mara zote" au "hautakoma" au "utaendelea mara zote".
|
|
Msemo wa kishindo, "milele na milele" unaweza kutafsiriwa kama "kwa mara zote na zote" au "kutomalizika" au "ambayo haifiki mwisho".
|
|
Ufalme wa Daudi kudumu milele unaweza kutafsiriwa kama, "uzao wa Daudi atatawala milele" au "uzao wangu ataendelea kutawala".
|
|
|