sw_tw/bible/other/creature.md

10 lines
390 B
Markdown

# Kiumbe
## Ufafanuzi
Kiumbe ni kila kitu kilicho hai ambacho Mungu alikiumba, binadamu na wanyama.
* Nabii Ezekieli anaelezea kuona "viumbe hai" katika maono ya utukufu wa Mungu. Hakujua ni nini hivyo akaviita hivyo.
* Tambua kuwa neno kiumbe ina maana tofauti na kwa kuwa inajumuisha kila kitu ambacho Mungu amekiumba vilivyo hai na visivyo hai. Kiumbe ni vitu vilivyo hai peke yake.