sw_tw/bible/other/creature.md

390 B

Kiumbe

Ufafanuzi

Kiumbe ni kila kitu kilicho hai ambacho Mungu alikiumba, binadamu na wanyama.

  • Nabii Ezekieli anaelezea kuona "viumbe hai" katika maono ya utukufu wa Mungu. Hakujua ni nini hivyo akaviita hivyo.
  • Tambua kuwa neno kiumbe ina maana tofauti na kwa kuwa inajumuisha kila kitu ambacho Mungu amekiumba vilivyo hai na visivyo hai. Kiumbe ni vitu vilivyo hai peke yake.