sw_tw/bible/other/contempt.md

11 lines
514 B
Markdown

# Dharau, kudharauliwa
## Ufafanuzi
Dharau ni kitendo cha kutokuheshimu kinachooneshwa kwa mtu au kitu. Kitu kisichoheshimiwa kinaitwa kilichodharauliwa.
* Mtu au tabia ambayo inaonesha kutokumuheshimu Mungu inaitwa kudharau.
* Kushikilia katika dharau inamaanisha kumuona mtu kama asiye na thamani au kumuhukumu mtu kwa kumuona hana thamani.
* Mfalme Daudi alipotenda dhambi ya uzingi na kuua Mungu alimwambia kuwa Daudi ameonesha "dharau" kwa Mungu. Hii inamaanisha kuwa amemdharau Mungu kwa kufanya hivyo.