514 B
514 B
Dharau, kudharauliwa
Ufafanuzi
Dharau ni kitendo cha kutokuheshimu kinachooneshwa kwa mtu au kitu. Kitu kisichoheshimiwa kinaitwa kilichodharauliwa.
- Mtu au tabia ambayo inaonesha kutokumuheshimu Mungu inaitwa kudharau.
- Kushikilia katika dharau inamaanisha kumuona mtu kama asiye na thamani au kumuhukumu mtu kwa kumuona hana thamani.
- Mfalme Daudi alipotenda dhambi ya uzingi na kuua Mungu alimwambia kuwa Daudi ameonesha "dharau" kwa Mungu. Hii inamaanisha kuwa amemdharau Mungu kwa kufanya hivyo.