sw_tw/bible/other/consume.md

13 lines
501 B
Markdown

# Kula
## Ufafanuzi
Kula ni kitendo cha kutumia kitu fulani. Pia ina maana nyingine.
* Katika Biblia kutumia inamaana ya kuharibu vitu au watu.
* Moto unaelezewa kula vitu ikiwa na maana ya kuharibu kwa kuviteketeza kwa moto.
* Mungu anajielezea kama moto ulao akiwa na maana ya kuelezea hasira yake dhidi ya dhambi. Hasira yake inasababisha adhabu kali kwa watenda dhambi wasiotubu.
* Kula chakula ni kitendo cha kuchukua na kula chakula au kinywaji.
* "kuila nchi" inamaana ya "kuiharibu nchi."