sw_tw/bible/other/consume.md

501 B

Kula

Ufafanuzi

Kula ni kitendo cha kutumia kitu fulani. Pia ina maana nyingine.

  • Katika Biblia kutumia inamaana ya kuharibu vitu au watu.
  • Moto unaelezewa kula vitu ikiwa na maana ya kuharibu kwa kuviteketeza kwa moto.
  • Mungu anajielezea kama moto ulao akiwa na maana ya kuelezea hasira yake dhidi ya dhambi. Hasira yake inasababisha adhabu kali kwa watenda dhambi wasiotubu.
  • Kula chakula ni kitendo cha kuchukua na kula chakula au kinywaji.
  • "kuila nchi" inamaana ya "kuiharibu nchi."