sw_tw/bible/other/confirm.md

13 lines
686 B
Markdown

# thibitisha, uthibitisho
## Ufafanuzi
Thibitisha au uthibitisho ni kuwa na hakika kuwa jambo fulani ni la kweli au kuaminika.
* Katika agano la kale Mungu anawaambia watu wake kuwa atalithibitisha agano lake kwao. Hii inamaana kuwa anasema kuwa atatunza ahadi aliyoiweka katika lile agano.
* Mfalme anathibitishwa hii inamaana ya kuwa maamuzi ya yeye kuwa mfalme yamekubalika na watu.
* Kuthibitisha alichokiandika mtu inamaana ya kuwa kilichoandikwa ni kweli.
* Uthibitisho wa agano maana yake ni kuwafundisha watu kuhusu habari njema za Yesu kwa namna ambavyo inaonesha kuwa ni kweli.
* Kutoa kiapo kama uthibitisho inamanisha kuapa kuwa jambo fulani ni la kweli au la kuaminika