sw_tw/bible/other/confirm.md

686 B

thibitisha, uthibitisho

Ufafanuzi

Thibitisha au uthibitisho ni kuwa na hakika kuwa jambo fulani ni la kweli au kuaminika.

  • Katika agano la kale Mungu anawaambia watu wake kuwa atalithibitisha agano lake kwao. Hii inamaana kuwa anasema kuwa atatunza ahadi aliyoiweka katika lile agano.
  • Mfalme anathibitishwa hii inamaana ya kuwa maamuzi ya yeye kuwa mfalme yamekubalika na watu.
  • Kuthibitisha alichokiandika mtu inamaana ya kuwa kilichoandikwa ni kweli.
  • Uthibitisho wa agano maana yake ni kuwafundisha watu kuhusu habari njema za Yesu kwa namna ambavyo inaonesha kuwa ni kweli.
  • Kutoa kiapo kama uthibitisho inamanisha kuapa kuwa jambo fulani ni la kweli au la kuaminika