sw_tw/bible/other/concubine.md

12 lines
445 B
Markdown

# Suria
## Ufafanuzi
Suria ni mwanamke ambaye ni mke wa pili wa mwanaume ambaye tayari ana mke. Suria mara nyingi sio mke halali wa mwanaume huyo.
* Katika agano la kale masuria walikuwa wanawake watumwa.
* Suria anaweza kupatikana kwa kununuliwa, kwa kushinda vita au kwa njia ya kulipa deni.
* Kwa mfalme kuwa na masuria wengi ilikuwa alama ya mamlaka.
* Katika agano jipya inafundisha kuwa kuwa na masuria ni kinyume na mapenzi ya Mungu.