sw_tw/bible/other/concubine.md

445 B

Suria

Ufafanuzi

Suria ni mwanamke ambaye ni mke wa pili wa mwanaume ambaye tayari ana mke. Suria mara nyingi sio mke halali wa mwanaume huyo.

  • Katika agano la kale masuria walikuwa wanawake watumwa.
  • Suria anaweza kupatikana kwa kununuliwa, kwa kushinda vita au kwa njia ya kulipa deni.
  • Kwa mfalme kuwa na masuria wengi ilikuwa alama ya mamlaka.
  • Katika agano jipya inafundisha kuwa kuwa na masuria ni kinyume na mapenzi ya Mungu.