429 B
429 B
Ukoo
Ufafanuzi
Ukoo ni kundi la wana familia wanaotokana na mababu.
- Katika agano la kale Waisraeli walihesabiwa kutokana na koo zao au makundi ya familia.
- Koo zilipewa majina kutokana na babu aliyejulikana sana.
- Mtu mmoja mmoja mara nyingine huitwa kwa jina la ukoo wake. Kwa mfano baba mkwe wa Musa mara nyingine aliitwa kwa jina la ukoo wake Reueli.
- Ukoo waweza kutafsiriwa kama "kundi la familia" au "ndugu."