sw_tw/bible/other/chariot.md

11 lines
386 B
Markdown

# Gari
## Ufafanuzi
Zamani za kale magari yalikuwa mepesi, yenye matairi mawili yalioendeshwa na farasi.
* Watu walikaa au kusimama katika magari, waliyatumia katika vita au safari.
* Katika vita jeshi lenye magari lilikuwa na faida ya kuwa na kasi na uwezo juu ya jeshi ambalo halikuwa na magari.
* Katika nyakati za Wamisri na Rumi walijulikana sana kwa kutumia farasi na magari.