sw_tw/bible/other/chariot.md

386 B

Gari

Ufafanuzi

Zamani za kale magari yalikuwa mepesi, yenye matairi mawili yalioendeshwa na farasi.

  • Watu walikaa au kusimama katika magari, waliyatumia katika vita au safari.
  • Katika vita jeshi lenye magari lilikuwa na faida ya kuwa na kasi na uwezo juu ya jeshi ambalo halikuwa na magari.
  • Katika nyakati za Wamisri na Rumi walijulikana sana kwa kutumia farasi na magari.