sw_tw/bible/other/biblicaltimeday.md

12 lines
595 B
Markdown

# siku
## Ufafanuzi
Neno "siku" kwa kawaida lamaanisha kipindi cha masaa 24 kuanzia kuzama kwa jua. Linatumika pia kitamathari.
* Kwa Waisraeli na Wayahudi, siku ilianza wakati wa jua kuzama na kuishia wakati wa kuzama kwa jua siku iliyofuata.
* Wakati mwingine neno "siku" latumika kitamathari kurejerea wakati mrefu, kama vile "siku ya Yahwe" au "siku za mwisho."
* Baadhi ya lugha hutumia taarifa nyingine kutafasiri matumizi ya tamathari hili au zitatafasiri "siku" bila tamathari.
* Tafasiri nyingine za "siku" zaweza kuhusisha, "wakati" au "majira" au "tukio" kutegemea na mazingira.