sw_tw/bible/other/biblicaltimeday.md

595 B

siku

Ufafanuzi

Neno "siku" kwa kawaida lamaanisha kipindi cha masaa 24 kuanzia kuzama kwa jua. Linatumika pia kitamathari.

  • Kwa Waisraeli na Wayahudi, siku ilianza wakati wa jua kuzama na kuishia wakati wa kuzama kwa jua siku iliyofuata.
  • Wakati mwingine neno "siku" latumika kitamathari kurejerea wakati mrefu, kama vile "siku ya Yahwe" au "siku za mwisho."
  • Baadhi ya lugha hutumia taarifa nyingine kutafasiri matumizi ya tamathari hili au zitatafasiri "siku" bila tamathari.
  • Tafasiri nyingine za "siku" zaweza kuhusisha, "wakati" au "majira" au "tukio" kutegemea na mazingira.