sw_tw/bible/other/barley.md

466 B

shayiri

Ufafanuzi

Neno "shayiri" limamaanisha aina ya nafaka iliyokuwa ikitumika kutengeneza mkate.

  • Mche wa shayiri una bua refu lenye suke juu yake ambamo ndani yake punje au nafaka inakua.
  • Shayiri hustawi wakati wa joto hivyo kwa kawaida inavunwa wakati wa kiangazi.
  • Wakati shayiri inapopurwa, mbegu ya kuliwa inatenganishwa na makapi.
  • Nafaka ya shayiri inasagwa na kuwa unga, ambao hatimaye unachanganywa na maji na mafuta ili kutengeneza mkate.