sw_tw/bible/other/astray.md

10 lines
378 B
Markdown

# Kupotea, akipotea, kupotoshwa
## Ufafanuzi
Kupotea ina maana ya kutomtii Mungu. Watu wanaopotoshwa wamewaruhusu watu wengine kuwasababisha wasimtii Mungu.
* Kupotea inatuppa picha sahihi ya kuacha njia nzuri au sehemu salama na kwenda njia mbaya au sehemu yenye hatari.
* Kondoo wanaoacha malisho wanayopewa na mchungaji wao Mungu anawafananisha wa watu waliomuacha yeye.