sw_tw/bible/other/astray.md

378 B

Kupotea, akipotea, kupotoshwa

Ufafanuzi

Kupotea ina maana ya kutomtii Mungu. Watu wanaopotoshwa wamewaruhusu watu wengine kuwasababisha wasimtii Mungu.

  • Kupotea inatuppa picha sahihi ya kuacha njia nzuri au sehemu salama na kwenda njia mbaya au sehemu yenye hatari.
  • Kondoo wanaoacha malisho wanayopewa na mchungaji wao Mungu anawafananisha wa watu waliomuacha yeye.