sw_tw/bible/other/archer.md

10 lines
274 B
Markdown

# Mpiga mishale
## Ufafanuzi
Mpiga mishale ni mtu mwenye ujuzi wa kutumia upinde na mshale kama silaha.
* Kwenye Biblia mpiga mishale mara nyingi ni askari anayetumia upinde na mshale kupigana vitani.
* Wapiga mishale walikuwa watu wa muhimu sana katika Jeshi la Siria.