sw_tw/bible/other/archer.md

274 B

Mpiga mishale

Ufafanuzi

Mpiga mishale ni mtu mwenye ujuzi wa kutumia upinde na mshale kama silaha.

  • Kwenye Biblia mpiga mishale mara nyingi ni askari anayetumia upinde na mshale kupigana vitani.
  • Wapiga mishale walikuwa watu wa muhimu sana katika Jeshi la Siria.