sw_tw/bible/other/anguish.md

12 lines
380 B
Markdown

# Majuto
## Ufafanuzi
"majuto" maana yake ni maumivu makali au dhiki.
* Majuto yanaweza kuwa ya kimwili au maumivu ya kihisia.
* Mara nyingi watu wenye majuto huonesha hata kwenye nyuso na tabia zao.
* Mfano mtu mwenye maumivu makali au majuto anaweza kusaga meno yake au kulia kwa sauti.
* Neno "majuto" linaweza kutafsiriwa pia kama "dhiki ya kihisia" au "maumivu ya ndani.