sw_tw/bible/other/anguish.md

380 B

Majuto

Ufafanuzi

"majuto" maana yake ni maumivu makali au dhiki.

  • Majuto yanaweza kuwa ya kimwili au maumivu ya kihisia.
  • Mara nyingi watu wenye majuto huonesha hata kwenye nyuso na tabia zao.
  • Mfano mtu mwenye maumivu makali au majuto anaweza kusaga meno yake au kulia kwa sauti.
  • Neno "majuto" linaweza kutafsiriwa pia kama "dhiki ya kihisia" au "maumivu ya ndani.