11 lines
530 B
Markdown
11 lines
530 B
Markdown
# Utawala, mtawala
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Maneno "utawala" au "mtawala" yana maana ya kusimamia na kuongoza watu wa nchi ili kuwasaidia wafanye sawasawa na inavyotakiwa.
|
|
|
|
* Danieli pamoja na vijana wengine watatu wa Kiyahudi walichaguliwa kuwa watawala au viongozi wa serikali katika eneo fulani la Babiloni.
|
|
* Kwenye agano jipya neno "utawala" limetumika kumuelezea mtu aliye na karama za roho mtakatifu.
|
|
* Mtu aliye na karama ya rohoni ya utawala ana uwezo wa kuongoza watu na kuwasimamia katika usimamizi wa majengo na mali nyingine.
|
|
|