530 B
530 B
Utawala, mtawala
Ufafanuzi
Maneno "utawala" au "mtawala" yana maana ya kusimamia na kuongoza watu wa nchi ili kuwasaidia wafanye sawasawa na inavyotakiwa.
- Danieli pamoja na vijana wengine watatu wa Kiyahudi walichaguliwa kuwa watawala au viongozi wa serikali katika eneo fulani la Babiloni.
- Kwenye agano jipya neno "utawala" limetumika kumuelezea mtu aliye na karama za roho mtakatifu.
- Mtu aliye na karama ya rohoni ya utawala ana uwezo wa kuongoza watu na kuwasimamia katika usimamizi wa majengo na mali nyingine.